Wednesday, December 22, 2010

UMASKINI WA AFRIKA SIO LAANA NI MTAZAMO.

[nyerere.jpg]                                                                                         
Mpaka sasa Afrika ndilo bara ambalo linaongoza kwa kuwa na maskini wengi zaidi duniani.Umaskini uliokithiri na unaonuka upo afrika.Pamoja na jitahidi zote zinazofanyika kutokomeza umaskini ,lakini bado kazi hii imeonekana kuwa ngumu na isiotia matumaini.Jinsi siku zinavyozidi kwenda hali ndio inazidi kuwa mbaya.waafrika wenzangu , hivi umaskini ni laana kwetu au ni mtazamo tulionao?hili swali linatakiwa kujibiwa na kila mwafrika mwenye akili timamu.
Baba wa taifa mwalimu Julius nyerere katika moja ya hotuba zake aliwahi kusema kwamba,``ukitaka kumkomboa maskini mwelimishe mtoto wake``,hii ikiwa na maana kwamba nji pekee ya kuuepuka umaskini wetu ni katika elimu.lakini swali ni je mbona watoto wengi wa afrika wameelimishwa lakini hakuna ahueni ya maisha? au kwa nini hatupati mabadiliko kutokana na elimu yao wanayoipata?tatizo ninini na kipi kifanyike?
Kama mtakuwa mnakumbuka vizuri ile ziara alioifanya mheshimiwa raisi wa Tanzania nchini marekani moja ya maswali alioulizwa ni kwa nini tanzania ni maskini? kwa kujiamini alijibu kwamba hata yeye hajui.
Katika hotuba ya mwalimu,watoto wa maskini wa Afrika aliowazungumzia ni pamoja na hawa viongozi wetu wa afrika ambao wamepata bahati ya kupata elimu [formal education] ambao ndio hasa tunawategemea watoe suluhisho hasa la nini kifanyike ili kuundoa umaskini afrika, lakini cha ajabu hata wasomi na viongozi wa juu katika nchi zetu hawajui nini kifanyike ili angalau na sisi tuweze kupiga hatua.
Au tukubaliane na msemo wa kwamba ngozi nyeusi imelaaniwa?
Ukweli ni kwamba Afrika hatujalaaniwa na wala hatujashindwa kujikwamua dhidi ya umaskini ila tatizo letu kubwa na lazima sisi waafrika tulikubali ni kwamba hatujajitambua.
Labda kabla sijaendelea mbele niwape sifa za mwanadamu ambae hajajitambua
Hawezi kujitawala mwenyewe
Hawezi kuyatawala mazingira yake mwenyewe
Hawezi kufanya maamuzi
Sio mbunifu na anategemea akili  ya mwingine kuweza kujipatia mahitaji yake
anategemea sana matumizi ya nguvu kuliko akili.hizo ni baadhi ya sifa za mtu ambae hajajitambua
Hivyo ili tuweze kuushinda umaskini lazima sisi waafrika tujitambue.Lazima tutambue ya kwamba ili tuweze kufanikiwa katika maisha lazima kuanzia sasa tujifunze kusimama kwa miguu yetu wenyewe.
Huwezi kupata mafanikio katika maisha kama wewe mwenyewe hujaamua kusimama na kukataa kubebwa.
Wenzetu wazungu wamefanikiwa sio kwa sababu wao wana akili sana kutshinda sisi ila tu wenyewe wamejitambua tayari,wanajua kwamba Mungu alituumba sio ili mazingira yatutawale bali tuyatawale.Lazima tufike hatua tukubali kwamba hatujaamua kutumia akili zetu na vipawa vyetu kutufanikisha na wakati wenzetu tayari wameshapiga hatua katika hilo.Wenzetu wanajua kwamba utajiri,heshima na uwezo wa mwanadamu kuyatawala mazingira yake uipo katika akili.Sisi tumetafsiri matumizi ya nguvu kama njia ya kutufanikisha na kutokana na hilo tunafanya kazi asubuhi mpaka jioni lakini hatupati mafanikio.

     Hii ndio Africa ya karne ya ishirini na moja.nani wa kulaumiwa?

Wednesday, December 8, 2010

YOU CAN CREATE PEACE IN YOUR MIND




Peace of mind is the most sought after 'commodity' in human life. It appears that most of us are in a state of perpetual restlessness. On analyzing the causes of this restlessness, I have ventured to find for myself ten solutions that need to be followed religiously if we are serious about achieving perfect peace of mind. 1. Do not interfere in others' business[jali mambo yako] 
Most of us create our own problems by interfering too often in others' affairs. We do so because somehow we have convinced ourselves that our way is the best way, our logic is the perfect logic, and those who do not conform to our thinking must be criticized and steered to the right direction, our direction.
This kind of attitude on our part denies the existence of individuality and consequently the existence of God, for God has created each one of us in a unique way. No two human beings can think or act in exactly the same way. All men or women act the way they do because they are prompted to do so by the Divine within them. There is God to look after everything. Why are you bothered? Mind your own business and you will have your peace.
2. Forget and forgive jifunze kusamehe na kusahau]
This is the most powerful aid to peace of mind. We often nurture ill feeling inside our heart for the person who insults or harms us. We forget that the insult or injury was done to us once but by nourishing the grievance we go on excavating the wound forever. Therefore it is essential that we cultivate the art of forgiving and forgetting. Believe in the justice of God and the doctrine of Karma. Let Him judge the act of the one who insulted you. Life is too short to waste in such trifles. Forget, forgive, and march on.
3. Do not crave for recognition[usisubiri kusifiwa/jiamini] 
This world is full of selfish people. They seldom praise anybody without selfish motive. They may praise you today because you are rich and have power but no sooner you are powerless, they will forget your achievement and start criticizing you.
Moreover, no one is perfect. Then why do you value the words of praise of another mortal like you? Why do you crave for recognition? Believe in yourself. People's praises do not last long. Do your duties ethically and sincerely and leave the rest to God.
4. Do not be jealous[epuka wivu] 
We all have experienced how jealousy can disturb our peace of mind. You know you work harder than your colleagues in the office but they get promotions, you do not. You started a business several years ago but you are not as successful as your neighbor whose business is only one year old. Should you be jealous? No, remember everybody's life is shaped by his previous Karma that has now become his destiny. If you are destined to be rich, not all the world can stop you. If you are not so destined, no one can help you either. Nothing will be gained by blaming others for your misfortune. Jealousy will not get you anywhere, but will only give you restlessness.
5. Change yourself according to the environment[badilika kulingana na mazingira] 
If you try to change the environment single handedly, the chances are you may fail. Instead, change yourself to suit the environment. As you do this, even the environment, which has remained unfriendly for you, will mysteriously appear to be congenial and harmonious.
6. Endure what cannot be cured[fanya yanayowezekana] 
This is the best way to turn a disadvantage into an advantage. Every day we face numerous inconveniences, ailments, irritations and accidents that are beyond our control. We must learn to endure them cheerfully thinking, "God will it so, so be it". God's logic is beyond our comprehension. Believe it and you will gain in patience, in inner strength, in will power.
7. Do not bite more than you can chew 
This maxim should be always remembered. We often tend to take more responsibilities than we are capable to carry out. This is done to satisfy our ego. Know your limitations. Spend your free time on prayers, introspection and meditation. This will reduce those thoughts in your mind, which make you restless. Fewer the thoughts, greater is the peace of mind.
8. Meditate regularly[jifunze kutafakari] 
Meditation makes the mind thoughtless. This is the highest state of peace of mind. Try and experience it. If you meditate earnestly for half an hour every day, you will tend to become calm during the remaining twenty-three and a half hours. Your mind will not be disturbed as much as before. This will increase your efficiency and you will turn out more work in less time.
9. Never leave the mind vacant[
An empty mind is devil's workshop. All evil deeds start in the mind. Keep your mind occupied in something positive, something worthwhile. Actively follow a hobby. You must decide what you value more - money or peace of mind. Your hobby, like social work may not always earn you more money, but you will have a sense of fulfillment and achievement. Even if you are resting physically, occupy yourself in healthy reading or mental chanting of God's name (japa).
10. Do not procrastinate and never regret
Do not waste time in wondering "should I or shouldn't I?" Days, weeks, months and years may be wasted in that futile mental debating. You can never plan enough because you can never anticipate all future happenings. Always remember God has His own plan too. Value your time and do things. It does not matter if you fail the first time. You can rectify your mistakes and succeed the next time. Sitting back and worrying will lead to nothing. Learn from your mistakes but do not brood over the past. DO NOT REGRET! Whatever happened was destined to happen only that way. Take it as the will of God. You do not have the power to alter the course of God's will. Why cry?.

How to get a man to marry you?

 i loved to be loved and - Women - tessykat2005
1.Love yourself. If you're not happy with who you are then don't expect others will be. Analyze yourself and change what you don't like. Positive self-esteem is key.

2.Communicate. From the start of the relationship and all through the marriage, the key to keeping the relationship together is communication. Tell him what you feel, both positive and negative.

3.Be natural. For all the glamour advertisements out there, the fake boobs, hair dyes, and all the rest, a man really appreciates something that is genuine. Be natural and don't pose. You want him to get to know the real you because it is the real you he's going to have to live with when you're married.
4.Be sexy. While sexuality isn't the only thing in a relationship, it is important. Show that you're interested in him romantically. Try not to be too prudish and withdrawn. Allow that aspect of the relationship to be free, fun, and lively. Men who want to marry aren't looking for just a roommate.
5.Know your role. An important part of any relationship is making both partners aware that they have a crucial and indispensable role to play. Make sure that you and him have a similar view of the relationship. If you're looking for someone to have kids with and he's looking for a casual relationship, it's not going to work out.
6.Be emotionally grounded. Life with you should not be a roller coaster ride. Men generally like women who are stable and vice versa. Sometimes this is a difficult task in our hectic lives, but it is not impossible. If you find yourself referred to as a "drama queen" in more than one instance, seek help and guidance in relaxing your nerves and calming your emotions.
7.Men are often slower to commit because they are very careful about getting to know a woman before they commit to her. They date first before becoming a boyfriend, and they stay a boyfriend first before getting engaged. This is often hard for women, but there is a lesson to be learned from it. They make sure (as women should) that they feel compatible on all levels. This process must happen at its own pace. Pressuring a man to make a decision before he feels he knows you will inevitably lead him to be uncertain. Don't talk about marriage until either he brings it up or it's been about a year.
8.Keep dating fun, as it should be. If dating goes well, and your interactions are positive, he'll want you to be his girlfriend. If he builds experience with you and sees you as a person he wants to be with forever, he will get more serious about his future and work, start considering more distant goals such as buying a home, and begin to discuss the future more and more. Only once he has made a decision about you and feels prepared and mature enough to propose will he do so.
9.Show confidence. Be sure of yourself, and ready to tackle whatever is before you. Many men love confident women. How can a man not feel privileged when he earns the esteem of a woman who values herself so highly?
10.Show endearment with class. A special glance, a scratch on the back, or a soft kiss is nice, but nothing "clingy" or inappropriate.
11.Appreciate a man's strengths. Also, tell him so, even if he's already prideful. Then, support him when he is at his best, and avoid nagging or berating him when he is at his worst.
12.Be fun. This sounds basic, but it's a critical factor in any relationship. Have a sense of humor. Don’t be uptight or negative.
13.Overflow with joy. Women who are glad to be alive and are enjoying every minute of it may be irrepressibly attractive to men.
14.Glow. If the warmth of your heart is written all over your face, and your feelings for your guy show in the sparkle in your eyes, you will melt him. This is what removes all doubt--it's the important "silver bullet".
15.Practice humility. A humble person is not someone who downplays herself; it is a person who controls her ego and shows a genuine interest in others.
16.Date. It may not be obvious, but you actually have to go out on dates with a man and commit to a relationship before he will propose. The term "date" in modern culture is vague and sometimes redefined as something more than it is. Simply converse with a man and get to know more about each others' lives. 17.Don't assume. Some men wait slightly longer than you might want before they ask. If he is really worth marrying, you should be willing to wait (within reason). But if he is uninterested (or worse, making excuses) even after a long period of time, you need to re-evaluate the direction of your relationship.
18.Remember that romance runs both ways. If you want to be respected and treated as an equal, do the same for him. Be romantic. Make him want to be in this relationship. Don't be a cheapskate. Men often enjoy romance too; pretending otherwise will only drive him away.
19.Remember that some men are perfectly willing to date women they really like but don't see as "marriage material." If, after six months to a year, you still haven't heard him refer to his future plans for marriage or family (with or without you), you may need to ask, "What qualities do you look for in someone you see yourself committing to?" If he mentions qualities he's complimented you on, take it as a good sign. If his compliments are largely related to sex, it probably is not. \
20.If you feel the need to have a serious talk, reconsider the approach. Instead of coming at him with a serious tone (which will bring up his innate fear of pressure for commitment), be upbeat and positive. "I really love spending time with you. I really feel happy around you. But I just want to double check and see if we're on the same page. While I know it is too soon for us to worry about it, I do want to get married in the future and want to make sure I'm dating someone who has the same values as me. As we get to know each other better and better, are you beginning to see me as someone you could possibly see that happening with?"
21.Convey unconditional love. A strong relationship should be based upon more than convenience. Pushing past difficult times while remaining together requires a deep commitment and appreciation for one another. Unconditional love is developed over time. It is a choice we make, not necessarily a feeling we experience.




  • Something I've been thinking about lately is time. We now can pause a movie, rewind on TV, return an unwanted item, and undo on the computer, but as each second passes, I can never get it back. That's downright frightening. How many seconds pass where I am wasting precious moments. But then I think about how utterly exhausted and imbalanced I would be if I tried to fill every single second of every single day. And what about sleep?! That's super unproductive. I wonder why we were made to need sleep. Whether you believe in God or evolution or a mixture of both, why do we need so much sleep? You think natural selection would have kicked that habit by now. But back to passing time. I think more now about how I spend each minute that I am awake, and not that every minute can be a life-changing and meaningful event, I want them all to have a purpose. What do you think about time?

    Monday, July 20, 2009

    Monday, December 6, 2010

    unawezaje kufanikiwa katika masomo yako?ifanye shule kama kazi.



    Kwa mwanafunzi yeyote makini anaelewa kwamba kusoma silelemama.Ili ufanikiwe lazima shule uichukulie kama kazi.Hii ikiwa na maana kwamba kama mwajiliwa anavyopambana kuhakikisha anaongeza ufanisi kazini na wewe vivyo hivyo hakikisha unabuni mbinu zitakazo kufanya ufaulu. Kabla ya kukupa mbinu zitakazo kuwezesha kufanikiwa kimasomo hebu kwanza tujue ni mambo gani yanayo sababisha wanafunzi kufeli au kutokufanikiwa.                                                                                                                               1.matatizo ya kisaikolojia:hii ina maana kwamba mwanafunzi anakuwa katika masomo lakini kichwani kunakuwa na mambo ambayo yanaondoa utulivu wa akili yake mfano migogoro ya familia,mapenzi,ukosefu wa pesa na mambo mengine mengi yanayoweza kuivuruga akili.                                                           2.Kutokusoma kwa undani( no intensive reading).mpendwa hata kama ungekuwa na uwezo mkubwa kiasi gani kama hausomi kwa undani usitegemee kufaulu.                                                                    
    3.kutokuwa na muda wa kufanya marudio.Njia pekee ya kuweka mambo akilini kwa ajili ya matumizi ya baadae ni katika kurudia rudia, hivyo, kama haukumbushii unapofundishwa maana yake yale unayofundishwa yatakaa kwenye eneo la ubongo ambalo linatunza kumbukumbu kwa muda mfupi na hivyo yatafutika.unaporudia rudia kile unachokisoma kinahifadhiwa kwenye eneo la akili ambalo hutunza kumbukumbu kwa muda mrefu                                                                                                               4.kusoma kwa muda mrefu bila kupumzika.Ni mara nyingi kukuta wanafunzi wanakesha darasani eti wanasoma,huko ni kupoteza muda.Kusoma kunakofaa ni kwa masaa mawili tu zaidi ya hapo ni kupoteza muda.                                                                                                                     5.Kutokujiamini:kutokuamini kwamba wewe unaweza ni moja ya mambo yanayo changia watu kufeli .Ni lazima uwe na imani kwamba unaweza kufanya jambo fulani na hapo ndipo litawezekana.                                                                                                                                6.kutokuwa na ushirikiano:hata katika maisha ya kawaida lazima binadamu ajifunze kushirikiana na wenzie.Wewe sio Mungu hata uweze kila kitu.Unahitaji kuongeza kile unachokijua kutoka kwa wenzako,kumbuka, umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu.                                                                          7.Ondoa uoga:tabia ya uoga si njema.Utakuta mwanafunzi anasoma huku kichwani mwake ana uoga wa kufeli hata kabla hajafanya mitihani na jinsi mwanadamu alivyoumbwa ni kwamba ukisha ingiza hofu unapunguza utendaji kazi wa akili.                                                                                                             8.Matumizi ya madawa ya kulevya.Vijana,hasa wa kiume hupenda wakati mwingine kuvuta sigara,bangi na vileo,hivi vyote ni sumu na vinaharibu utendaji kazi wa mwili na akili na mwisho wake ni kushindwa kufanya mambo mengine hasa ya kitaaluma                                                                                                         9.Imani potofu:kuamini kwamba Mungu au nguvu za giza zinaweza kukufanya ufaulu bila kusoma .ukweli ni kwamba haiwezekani kufaulu bila kusoma.                                                                                         10.Kutokuwa na mpangilio mzuri wa mambo na ratiba yako.Ili ufanikiwe lazima uwe na mpangilio unaoeleweka katika kila unachokifanya.Kutokupangilia mambo yako vizuri maana yake hjui unatakiwa ufanye nini na kwa wakati gani.Huwezi kufaulu kama hauna mpangilio wa mambo yako.Lazima upange kabla ya kufanya chochote.                                                                                                                                11.Kuwa na mtazamo hasi .Hii ikiwa ni pamoja na kuamini kwamba somo fulani ni gumu au kuamini kwamba masomo fulani ni ya watu au jinsia fulani.Huwezi kufaulu kama unawaza hasi. Mambo haya kumi ndio yanayo pelekea wanafunzi kufeli,hivyo ili mtu ufanikiwe katika masomo yako lazima ufanye yafuatayo                        1.kuwa na mtazamo chanya .Mtazamo chanya ndio chanzo cha mafanikio yoyote yale,hivyo, kabla hujafanya chochote,waza chanya kwamba utaweza.                                                                                           2.Soma kwa undani (intensive reading).Usiwe na papara katika kusoma.Tuliza akili ,soma mstari kwa mstari na uelewe.                                                                                                                                                  3.Pata muda wa kupumzika .usisome kukesha kama nilivyo sema huku nikujichosha na kupoteza muda 4.Andaa ratiba.usisome bila ratiba .Andaa ratiba inayoeleweka.Ratiba ndio itakayokuwezesha kujua ninini usome na kwa wakati gani.                                                                                                                        5.Vunja mada unayotaka kusoma katika vipengele vidogo vidogo vidogo ,hii itakusaidia kusoma kwa urahisi. 6.Pitia mitihani iliyopita au tunga maswali kutoka katika mada uliyosoma na uyafanye .Hii ni kujipima kama umeelewa na pia inasaidia katika kukumbushia. 7.Panua maarifa:kwa kusoma vitabu mbalimbali vinavyohusiana na mada unazozisoma darasani ,usitegemee notisi za mwalimu tu                                          8. Ifanye shule kama kazi.soma ukiwa na wazo kwamba elimu ndio kula yako.